Social Icons

Friday 9 May 2014

Picha ya Mbu anayeeneza ugonjwa hatari wa Dengue unaosumbua jijni DAR


Kwa msiojua, homa ya Dengue ni ugonjwa unaoenezwa kwa kuumwa na mbu aina ya Aedes mwenye virusi vya ugonjwahuo. Mbu hupata virusi vya homa ya Dengue anapomuuma mtu mwenye ugonjwa huu.

Ugonjwa huu unaenezwa kutoka mtu mmoja kwenda mwingine kwa kuumwa na mbu huyu.Share na mwenzako, ili wote tuwe makini na ugonjwa huu.

No comments:

Post a Comment