Social Icons

Friday 9 May 2014

Abiria zaidi ya 50 wanusurika ajali ya basi la Dar Express May 9 2014


Ni abiria zaidi ya 50 walionusurika kwenye hii ajali ya basi la Dar Express lililokua likitokea Dar es salaam kwenda Nairobi leo May 9 2014 ambapo lilipofika Msata karibu na daraja la Wami lilipata ajali baada ya kupasuka tairi la mbele kushoto na kisha kupinduka.

No comments:

Post a Comment