Toni Kross hatajiunga na Manchester
United Msimu huu baada ya Louis Van Gaal kumkataa lakini PSG wako mbioni
kumsaini Beki wa Chelsea David Luiz kwa Pauni Milioni 50 na Bacary
Sagna anategemewa kuhamia Manchester City.Hizi ndio habari zinazovuma huko England.Friday, 23 May 2014
Tetesi za Usajili Louis Van Gaal Amkataa Toni Kross,David Luiz Kutimkia PSG
Toni Kross hatajiunga na Manchester
United Msimu huu baada ya Louis Van Gaal kumkataa lakini PSG wako mbioni
kumsaini Beki wa Chelsea David Luiz kwa Pauni Milioni 50 na Bacary
Sagna anategemewa kuhamia Manchester City.Hizi ndio habari zinazovuma huko England.
Labels:
AddyTz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment