Roy Hodson amekiri kuwa bado hajafikiria
kumbadili Alex Oxlade-Chamberlain ikiwa itathibitika hataweza kucheza
Fainali za Kombe la Dunia.Kiungo huyo wa Arsenal aliumia Goti kwenye Mechi ya Jumatano Usiku ambayo England walitoka 2-2 na Ecuador huko Miami, Marekani.
Winga huyo wa Arsenal hataweza kucheza
Mechi ya kwanza ya KUNDI D la Kombe la Dunia dhidi ya Italy hapo Juni 14
lakini Hodgson amesema atafanya uamuzi Dakika za mwishoni ikiwa
anahitaji kumbadili.Amesema: “Hakuna mabadiliko. Amekuwa akishughulikiwa na Madaktari na tunasubiri.”Alipoulizwa lini atatoa uamuzi, Hodgson
alijibu kwamba si kabla ya kwenda Brazil kwani kwa sasa wapo Kambini
huko Miami, Marekani na Leo wanacheza Mechi ya kujipima na Honduras
Saturday, 7 June 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment