
hivyo msimu wa 1973-1974 wakati waliposhuka daraja. Giggs ambaye huo ulikuwa mchezo wake wa pili toka achukue mikoba ya muda kutoka David Moyes aliyetimuliwa amesema hajui kwanini kiwango chao katika mechi nyumbani kimekuwa sio cha kuridhisha kabisa msimu huu. Wakiwa wamebakiwa na michezo miwili United waliopo nafasi ya saba hawawezi tena kukwea juu kuzidi nafasi ya sita baada ya ushindi huo wa kwanza wa ligi kwa Sunderland katika Uwanja wa Old Trafford toka mwaka 1968.
No comments:
Post a Comment