
na mara mbili katika raundi ya 10. Majaji wote watatu walitoa ushindi wa Khan kwa alama 117-106, 119-104 na 119-104. Ushindi huo unamuweka Khan katika nafasi ya pambano alilolisubiria kwa muda mrefu na Mmarekani Floyd Mayweather ambaye naye alimtandika Marcos Maidana katika ukumbi huohuo wa MGM Grand jijini Las Vegas.
No comments:
Post a Comment