Social Icons

Friday 6 June 2014

Diamond Platinumz Amekuwa Verified leo katika mtandao wa Twitter




Diamond Platinumz ambaye kwa sasa yuko Afrika Kusini akijiandaa na shughuli ya utoaji wa tuzo za MTV,leo mtandao wa Twitter umempa umiliki halali wa akaunti yake ya Twitter kwa kuwa Verified.

verifed 

Diamond Platnumz anaungana na mastar kadhaa wenye  verified kwenye akaunt zao ambao ni pamoja na Rais Jakaya Kikwete,Ambwene Yesaya ‘Ay’,Flavian Matata.January Makamba na baadhi ya mastaa.

katika kurasa zake za mitandao ya kijamii leo Diamond amewashukuru twitter kwa kuandika>>’Thank you Twitter’.Diamond Platinumz ambaye kwa sasa yuko Afrika Kusini akijiandaa na shughuli ya utoaji wa tuzo za MTV,leo mtandao wa Twitter umempa umiliki halali wa akaunti yake ya Twitter kwa kuwa Verified.

itter’.

No comments:

Post a Comment